Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Habari

NOTIFICATION OF OFFICE RELOCATION (Imewekwa:31 July,2018)

We are pleased to inform you that we have moved to a new office since 26th July, 2018. Our current office is located at Ursino, House No. 25, Plot No. 52, along Mwai Kibaki Road, Dar es Salaam Soma zaidi


TGDC na mkakati wa kuendeleza tafiti za jotoardhi Shinyanga (Imewekwa:27 April,2018)

Mwenyekiti wa Bodi ya TGDC, Beatus Segeja ametembelea eneo la Ibadakuli lililoko Manispaa ya Shinyanga ili kufahamu matokeo ya tafiti za awali za nishati ya jotoardhi na mpango wa TGDC wa kufanya tafiti za kina katika eneo hilo. Soma zaidi


Kampuni ya TGDC yafanya Semina kwa Wabunge wa Kamati ya Nishati na Madini jijini Dodoma. (Imewekwa:21 June,2017)

Imeelezwa kuwa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) itazalisha Megawati 200-600 kutokana na Jotoardhi ifikapo 2025. Soma zaidi


WANANCHI WATOA MAONI KUELEKEA UCHIMBAJI VISIMA VYA JOTOARDHI MRADI WA NGOZI (Imewekwa:15 March,2017)

Wananchi wa Wilaya za Rungwe na Mbeya Vijijini pamoja na wadau wengine wa mradi wa jotoardhi wa Ngozi wametoa maoni mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali ya msingi kabla ya zoezi la uchorongaji visima vya uchunguzi na baadae uvunaji mvuke wa kuzalisha umeme utakaotokana na nishati ya jotoardhi. Soma zaidi


TAARIFA KWA UMMA: MRADI WA NGOZI WA KUVUNA NISHATI YA JOTOARDHI KWA AJILI YA KUCHORONGA VISIMA VYA AWALI (Imewekwa:17 February,2017)

MIKUTANO YA UMMA JUU YA TATHMINI YA ATHARI ZA MAZINGIRA NA JAMII (ENVIRONMENTAL AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT STUDY). Soma zaidi