YALIYOJIRI KATIKA ZIARA YA BODI YA WAKURUGENZI YA TGDC

Kaimu Meneja Mkuu wa TGDC Mhandisi Shakiru Idrissa Kajugus akitoa maelezo ya maendeleo ya rasilimali ya Jotoardhi katika mradi wa Kiejo-Mbaka Mkoani Mbeya kwa bodi ya wakurugenzi wa TGDC

Posted on:   Nov 28, 2022

YALIYOJIRI KATIKA ZIARA YA BODI YA WAKURUGENZI YA TGDC

Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa TGDC akitoa tathmini kuhusu mradi wa Jotoardhi Ngozi Mkoani Mbeya na pia kutoa ushauri kwa Manejiment ya Kampuni ili kufikia malengo ya kuzalisha nishati hii mbadala.

Posted on:   Nov 28, 2022

Mw 2,000 ZA NISHATI JADIDIFU

TANESCO YASAINI MKATABA NA MASDAR KUENDELEZA Mw 2,000 ZA NISHATI JADIDIFU

Posted on:   Aug 05, 2022