Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Salaam za Ukaribisho kutoka kwa Meneja Mkuu

Kwa niaba ya Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania (TGDC) ningependa kuwajulisha uwezo wa jotoardhi uliopo nchini Tanzania kama ulivyobainishwa kwenye tovuti hii. Jotoardhi ni maliasili inayopatikana kwa wingi Tanzania, kwa kukisia kinadhariaTanzania ina zaidi ya 5000MWe ya nishati ya jotoardhi inayosubiri kuendelezwa.

Tofauti na vyanzo vya nishati nyingine jadidifu, jotoardhi ina sifa za kipekee zinazoifanya ihitajike zai...

Habari & Matukio

Jan, 7 2016

KAMPUNI ya Uendelezaji Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC) imepewa lengo na Serikali la kuhakikisha kuwa inazalisha umeme wa Megawati 200 na kuuingiza katika gridi ya Taifa kufikia mwaka 2020.

Jan, 8 2016

Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Jiolojia, Ubeljiji (GB2016)

Mkutano wa Kimataifa wa Jiolojia wa Ubeljiji , 2016 umeandaliwa chini ya kaulimbiu “Mama Ardhi”. Mada mbalimbali za fani mbalimbali za Sayansi ya Udongo zitajadiliwa wakati wa mkutano, ikiwa ni pamoja na elimu ya hali ya hewa ya zamani (paleoclimatology), nishatiardhi (geoenergy)...

Huduma Zetu