Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Tanzania Geothermal Development Company

(TGDC)

Habari

WANANCHI WATOA MAONI KUELEKEA UCHIMBAJI VISIMA VYA JOTOARDHI MRADI WA NGOZI (Imewekwa:15 March,2017)

Wananchi wa Wilaya za Rungwe na Mbeya Vijijini pamoja na wadau wengine wa mradi wa jotoardhi wa Ngozi wametoa maoni mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali ya msingi kabla ya zoezi la uchorongaji visima vya uchunguzi na baadae uvunaji mvuke wa kuzalisha umeme utakaotokana na nishati ya jotoardhi. Soma zaidi


TAARIFA KWA UMMA: MRADI WA NGOZI WA KUVUNA NISHATI YA JOTOARDHI KWA AJILI YA KUCHORONGA VISIMA VYA AWALI (Imewekwa:17 February,2017)

MIKUTANO YA UMMA JUU YA TATHMINI YA ATHARI ZA MAZINGIRA NA JAMII (ENVIRONMENTAL AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT STUDY). Soma zaidi


CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2017/2018 (Imewekwa:01 February,2017)

CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2017/2018 Applications are invited from committed, motivated and qualified Tanzanians to apply for postgraduate studies in the one of China’s best Oil and Gas Universities - the China University of Geosciences (Wuhan). Soma zaidi


TGDC na mkakati wa kuzalisha umeme kupitia Jotoardhi (Imewekwa:07 January,2016)

KAMPUNI ya Uendelezaji Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC) imepewa lengo na Serikali la kuhakikisha kuwa inazalisha umeme wa Megawati 200 na kuuingiza katika gridi ya Taifa kufikia mwaka 2020. Soma zaidi